Utapata tu katika wakati ambao hujategemea itahappen kama suprise mtumainie MunguHabarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Kuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko πHasa ukiwakuta na ID za UDSM wanakuona wewe bonge la kilaza! UDSM ni mfano tu!
Huyu ikipita mwaka si atacheza salsa πUmemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Mbona atahanyaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ikipita mwaka si atacheza salsa [emoji23]
Namchana ukweli, ataamua, asuke au anyoeeMpe moyo mkuu
mwaka huu...Embu toa utoto apaHabarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
Afu atatulia tuliiii, na atajiuliza Heka heka zilikua zinatoka wapiii na kumuwakishaa!!Hujakosea kabisa, mbona wenge lote litamuisha [emoji3][emoji3]
Lazima upate kazi ya ushanduaji hapo ni miezi miwili na ana laki 3.Mbona atahanyaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππKuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko π
nkamjibu tu "salary slip yangu haiandikwi chuo nilichosoma, maliza chuo kwanza baada ya mwaka uje tuongee sasa mambo ya udizim na udom"
Sahivi aliko nadhani hata jina la udizim halikumbuki tena
Hizo laki 3 agiza gunia 4 za mkaa kwa 65,000 uje uziuze rejareja au jumla kwa 80,000 mjini hapHabarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.
Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku ushanduajii kuna fursaaa mnoo, nishasahau km natakiwa 1 day kuwepo site huko karakananiii.Lazima upate kazi ya ushanduaji hapo ni miezi miwili na ana laki 3.
Nimechekaa had machoziii, ila wee Eve bhana, LolKuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko [emoji16]
nkamjibu tu "salary slip yangu haiandikwi chuo nilichosoma, maliza chuo kwanza baada ya mwaka uje tuongee sasa mambo ya udizim na udom"
Sahivi aliko nadhani hata jina la udizim halikumbuki tena
Mpe michongo huyo mkemia anaepata stress za kukosa intern after two months.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku ushanduajii kuna fursaaa mnoo, nishasahau km natakiwa 1 day kuwepo site huko karakananiii.
Watu weuweeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anawafaa nyie ndo mnatakiwa mumpe mchongooo, mie huwa nawapa fursaa wachachukaji na wabwakuziii.Mpe michongo huyo mkemia anaepata stress za kukosa intern after two months.
Mtu anaeanza kukata tamaa mapema hivi hatufaiHuyu anawafaa nyie ndo mnatakiwa mumpe mchongooo, mie huwa nawapa fursaa wachachukaji na wabwakuziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]