Natafuta kazi taaluma yangu ni Bachelor of Science in Chemistry Nipo Tayari Kufanya Kazi Ndani au Nje ya Taaluma Yangu

Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Utapata tu katika wakati ambao hujategemea itahappen kama suprise mtumainie Mungu
 
Hasa ukiwakuta na ID za UDSM wanakuona wewe bonge la kilaza! UDSM ni mfano tu!
Kuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko 😁

nkamjibu tu "salary slip yangu haiandikwi chuo nilichosoma, maliza chuo kwanza baada ya mwaka uje tuongee sasa mambo ya udizim na udom"

Sahivi aliko nadhani hata jina la udizim halikumbuki tena
 
Umemaliza hata miez 2 haijafika umeanza kudataa mtaani?
Brooh, hapoo badoo utadataa na kuvurugwa had ushangaee.
Poleee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ikipita mwaka si atacheza salsa 😂
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏

Ila course nyingine zimekaa kiaina kwa kweli
Bachelor of Science in Chemistry au sijui Bachelor of Science in Physics?
Kwa wewe wa Chemistry labda upate huko kiwanda cha kutengeneza madawa
au pengine uombe masters ili uspecialize kwenye kitu kimoja ila kwa physics inanichanganya kwa kweli
 
Habarini Wana jf..... nimehitimu mwaka huu bachelor of science in chemistry lkn mpk sas sijapat ata sehem ya kujishikiza ata part time licha ya kuaapply internship sehem mbalimbali. natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu.
kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
mwaka huu...Embu toa utoto apa
 
Hujakosea kabisa, mbona wenge lote litamuisha [emoji3][emoji3]
Afu atatulia tuliiii, na atajiuliza Heka heka zilikua zinatoka wapiii na kumuwakishaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole mdogo wangu...
Hiyo panic ndio akili yenyewe, ungefika mtaani na kusubiria usukumwe na wazazi. Hapo lingekuwa tatizo.

Cha msingi shikilia kile unachoweza kufanya, kuna waliojipata kwa kupewa kazi au kufanikiwa katika biashara hata kabla ya graduation, wengine miezi na wengine baada ya mwaka. kwa hiyo kila mmoja hujipata kwa kadri na kudra yake.

Cha msingi kwa sasa kama fresh graduate kampuni nyingi hutoa graduate program. Mfano kuna NMB lakini pia ofisi nyingi huwa zinatoa intern kwa watu wenye communication knowledge tu.

Pia nenda recruitment agencies mfano EMPOWER LIMITED au NIAJIRI, huwa wanatoa graduate programs na ukiwa vizuri wanakuajiri wenyewe au wanakutafutia kazi..

So kuwa macho zaidi na zaidi kupata kitu cha kushikilia. Kuhusu biashara ndogo ndogo, wapo watakaokupa muongozo

all the best
 
Kuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko 😁

nkamjibu tu "salary slip yangu haiandikwi chuo nilichosoma, maliza chuo kwanza baada ya mwaka uje tuongee sasa mambo ya udizim na udom"

Sahivi aliko nadhani hata jina la udizim halikumbuki tena
😆😆😆
 
Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.

Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo lolote la biashara inayolip ata kam faida ni ndogo 🙏
Hizo laki 3 agiza gunia 4 za mkaa kwa 65,000 uje uziuze rejareja au jumla kwa 80,000 mjini hap
 
Lazima upate kazi ya ushanduaji hapo ni miezi miwili na ana laki 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku ushanduajii kuna fursaaa mnoo, nishasahau km natakiwa 1 day kuwepo site huko karakananiii.

Watu weuweeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kitoto kilikua kinaninanga kikiwa Udizim yani kweli ma mdogo umesoma udom, aah mie hicho chuo hapana kwakweli ngepata huko nisingeenda huko [emoji16]

nkamjibu tu "salary slip yangu haiandikwi chuo nilichosoma, maliza chuo kwanza baada ya mwaka uje tuongee sasa mambo ya udizim na udom"

Sahivi aliko nadhani hata jina la udizim halikumbuki tena
Nimechekaa had machoziii, ila wee Eve bhana, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku ushanduajii kuna fursaaa mnoo, nishasahau km natakiwa 1 day kuwepo site huko karakananiii.

Watu weuweeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe michongo huyo mkemia anaepata stress za kukosa intern after two months.
 
Huyu anawafaa nyie ndo mnatakiwa mumpe mchongooo, mie huwa nawapa fursaa wachachukaji na wabwakuziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu anaeanza kukata tamaa mapema hivi hatufai
 
Kitu kikubwa ni kuwa na roho ngumu. Pia usiogope kufanya maamuzi magumu kwenye kitu chochote ambacho kikombele yako.
Mimi toka 2019 nimalize chuo nimepitia ups and down nyingi maumivu maneno ya watu kitaa ila niliziba masikio ila nimekuja kupata sehemu nzuri mwaka huu. Hapo imepita miaka minne na zaidi now naenjoy life
Kwa hiyo usiwe na stress au na high expectations muombe mungu maana hujui kakupangia nini hapo mbele.
 
Back
Top Bottom