Natafuta kazi (uhasibi, cashier, teller, auditor,data clerk,bookeepr)

kazen

Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
13
Reaction score
3
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing .
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level

Nipo dar es salaam pia naweza fanya kazi mkoa wowote.

Msaada wenu wadau namba yangu 0744532492
 
Kila la kheri mhitimu wa chuo changu cha zamani!!!
 
We huna kazi na unachagua kazi?

Good luck
 
Dear, hebu rekebisha heading ya uzi wako
Unasomeka kama haupo serious typing errors nyingi
Kila la kheri kwenye utafutaji wako
 
Anza kutafta kazi za kujitolea kwanza
 
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu (Bachelor degree of accounting-IFM) mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu pia nina uzoefu katika application za MS Exel, MS word, MS PowerPoint na fast typing skill.
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level.

Nipo Dar es Salaam pia naweza fanya kazi mkoa wowote.

Msaada wenu wadau namba yangu
Call, text and WhatsApp 0744532492
 
Muhasibu pitia website ya utumishi kuna mzgo umedondoshwa...

Ila uhasibu ni professional nzuri sana hasa Kwenye fursa za kujiajiri...
 
Kila la heri mkuu ila nilivyoona CPA nikadhani unayo tayari ili tushirikiane kwenye jambo fulani
 
Omba kazi kwenye auditing firms ili ujifunze kazi kwanza, ukifanya miaka 2-3 kazi zitakuwa nyingi mpaka utakuwa unachagua
 
Me
Nlifanyia Acts financial consultancy
 
Waone jamaa wanaitwa Tanzania Association of Accountants sizani kama utamaliza mwezi bila mchongo. Wapo pale pale NBAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…