Fildaus
Member
- Mar 17, 2011
- 32
- 19
ibradreamfinancial@gmail.comMimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu (Bachelor degree of accounting-IFM) mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu pia nina uzoefu katika application za MS Exel, MS word, MS PowerPoint na fast typing skill.
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level.
Nipo Dar es Salaam pia naweza fanya kazi mkoa wowote.
Msaada wenu wadau namba yangu
Call, text and WhatsApp 0744532492
Tuwasiliane...