Natafuta kazi (uhasibi, cashier, teller, auditor,data clerk,bookeepr)

ibradreamfinancial@gmail.com
Tuwasiliane...
 
Cashier/Accountant anahitajika Cashier/Accountant anahitajika via JamiiForums
 
Omba kazi kwenye auditing firms ili ujifunze kazi kwanza, ukifanya miaka 2-3 kazi zitakuwa nyingi mpaka utakuwa unachagua
Sio guarantee mkuu. Unaweza kaa hata 4 years hapohapo firm
 
Unayo Kadi ya CCM?
 
Hawa jamaa wametangaza internship.
 
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu (Bachelor degree of accounting-IFM) mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu pia nina uzoefu katika application za MS Exel, MS word, MS PowerPoint na fast typing skill.
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level.

Nipo Dar es Salaam pia naweza fanya kazi mkoa wowote.

Msaada wenu wadau namba yangu
Call, text and WhatsApp 0744532492
 
Mimi ni mhasibu mwenye uzoefu wa miaka miwili.Pia Naweza fanya Financial Statement Analysis na Financial Data analysis kwa STATA na SPSS.
Natafuta Kazi
Nipo Dar es Salaam

Msaada wenu wadau namba yangu
Call, text and WhatsApp 0744532492
 
Mungu akutangulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…