Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

Nolosc 2

New Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
1
Reaction score
2
Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time.

Nilikuwa nachukua Bachelor of science (UDSM) (Bsc)

Education background
1. Teaching (chemistry &Biology)(2- years course duration)
2. Computer studies (Certificate)
Acquired in Musoma Tech sec school as crush course.

Lakin Kama nafanya kazi hata Kama iko nje ya hizo hapo juu wakuu tusaidiane
Naamini wakuu mtalifanyia kazi.

Location nipo Mwanza
 
Si useme nilikuwa nasomea ualimu? Unatuletea mavingereza vitusaidie nini? Alafu unaanza "nimeweza kuahirisha". Kwani kuahirisha ni kazi kusema nimefuzu? Wanafunzi wa chuo Bwana? Njoo kitaa uonje joto ya jiwe!
 
Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time.

Nilikuwa nachukua Bachelor of science (UDSM) (Bsc)

Education background
1. Teaching (chemistry &Biology)(2- years course duration)
2. Computer studies (Certificate)
Acquired in Musoma Tech sec school as crush course.

Lakin Kama nafanya kazi hata Kama iko nje ya hizo hapo juu wakuu tusaidiane
Naamini wakuu mtalifanyia kazi.

Location nipo Mwanza
Watakuja
Ila kama hutojali rekebisha basi hili bandiko lako
hapa kwenye 'nachukua=nasoma
Umeweza kuahirisha, naona ingesomeka 'nimeahirisha' ingekaa vizuri.....
 
Ukipata kazi na mim niunganishe bro Nina shahada ya usimamizi wa fedha ( BCOM finance) udsm 0693392242
 
Hapo udsm kuna tatizo gani? Mbona vijana wanalialia tu?
Mleta mada wewe ni ke au me?
 
Back
Top Bottom