King davido78
New Member
- Jun 10, 2022
- 1
- 0
Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ulinayo iweke hapa ili kama inamfaa au haiwezi atasema yeye mwenyewe coz amekuambia anatafuta kazi yoyote ileVijana siku hizi kujielezea ni shida sana , sema una elimu gani, una ujuzi gani, una uzoefu gani na ungependa kazi hasa za aina gani??
Na unapatikana wapi?? Ukisema kazi yoyote unatuacha kwenye mabano mjini kuna kazi nyingi
Usipalilie ujinga.Kazi ulinayo iweke hapa ili kama inamfaa au haiwezi atasema yeye mwenyewe coz amekuambia anatafuta kazi yoyote ile
Tusiwe wakosoaji na wajuaji sana bila kuwa na msaada wowote
Kama hauna kazi yoyote ya kumpa,hauna haki ya kuongea chochoteUsipalilie ujinga.
Maelezo ya mwenye uzi hayajitoshelezi.
Good!…....hii ndio inahitajika mkuu na hapo atakayeshindwa ni yeye mwenyeweHaya kama una urefu futi 6 na una cheti Cha kidato cha nne nenda Guarderword kuna kazi za ulinzi mshahara laki 2 na nusu , ofisi zao ziko mikocheni kwa warioba.
Hakuna kitu kama hicho. Ingekuwa kupata kazi za mshahara wa laki mbili ni simpo kiasi hicho basi sidhani kama kungekuwa na house girl wa 30000 kwa mweziHaya kama una urefu futi 6 na una cheti Cha kidato cha nne nenda Guarderword kuna kazi za ulinzi mshahara laki 2 na nusu , ofisi zao ziko mikocheni kwa warioba.
Guarderword hawana longolongo kama ana hizo sifa nilizotaja anachukuliwa wanachukua intake mpya mara kwa mara sababu wengi pia wanaacha kazi kila siku ,wengi wanaofanya kazi hapo ni magraduates wanaficha vyeti vyao vya degree wakipata kazi zao za maana wanaacha.Hakuna kitu kama hicho. Ingekuwa kupata kazi za mshahara wa laki mbili ni simpo kiasi hicho basi sidhani kama kungekuwa na house girl wa 30000 kwa mwezi