mtoto ya simba
Member
- Jul 6, 2025
- 14
- 19
Habari zenu wakuu,
Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam.
IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe.
Nina uzoefu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii, uwaminifu na kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha mazingira yanabaki katika hali bora muda wote.
Nahaminj usafi ni afya
Niko tayari kuanza kazi mara moja
Asanteni kwa kunisikiliza na kunisaidia kufikisha ujumbe huu kwa wengine
Karibu kwa mawasiliano yoyote yenye nafasi
Nipo dar es salaam, Mbagara