Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari

celem

New Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari.

Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu.

Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na Kinyarwanda) , na nikasoma Kiswahili, Kingeleza na Elimu katika chuo kikuu.

Asante.
 
Mtu binafsi inakuaje? Upo sehemu gani?
 
Mtu binafsi inakuaje? Upo sehemu gani?
KIDT (TUPO MOSHIMJINI-KILIMANJARO) tunajitaji mwalimu wa kufundisha Secretarial.front office na Hoteli, Pia akiweza na English Communication au uwalimu kwa wanafunzi wanao jifunza uwalimu itakuwa ni advadvantage-mwenye interest tuwasiliane 0754469894/0717157640
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…