Natafuta kazi ya kufundisha, masomo yangu ni Kiingereza na Kiswahili

Natafuta kazi ya kufundisha, masomo yangu ni Kiingereza na Kiswahili

Chereko tena

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
467
Reaction score
520
Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha.

ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
 
Back
Top Bottom