Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Sio Sana wastan tuHee ,hongera Ticha hiyo salary scale yako ni nomaa
nna mwanangu yuko likizo,je waweza kuja kumfundisha? mil2.5 itakutosha kwa mwezi? naomba jibMimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha ,ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
Mkuu jaribu kwenye international Schools,Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha.
ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
Hongera sana mkuu kwa kulipwa M 1+Mimi Ni mwalimu by professional Nina degree ya kwanza gpa 4.masomo kiswahili na kiingereza,ninahtaji mshahara wa 3.5m kufundisha.
ninafanya kazi mshahara wa sasa 1.2 m
Unatumia utaalamu upi ku bold maandishi yakoKila la kheri mkuu
Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp - JamiiForumsUnatumia utaalamu upi ku bold maandishi yako
🤣🤣nna mwanangu yuko likizo,je waweza kuja kumfundisha? mil2.5 itakutosha kwa mwezi? naomba jib
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu akirudi shule ajira imeisha,🤣🤣,nahtaji contract sio part-time coz nipo mbeya kuja kwako hii kazi ya sasa niiache kitu ambacho Ni very risk
Njoo PM