Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

Amidu10

Senior Member
Joined
May 17, 2023
Posts
103
Reaction score
126
WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).

Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri kwa interview muda wowote.

0693215343
Asanteni
 
Usipoteze muda wako mkuu,nenda far east hiyo ni critical skill (Vietnam, Thailand, even China)
 
[emoji2][emoji2] unanienjoy sio
Why mkuu nifanye hivyo?,Sina cha kunufaika ,ni friendly advice, panua wigo unapotafuta ajira, google mitandao ya far east kuhusu ufundishaji wa kiingereza kwenye nchi hizo, Zimbabweans, Malawians wapo wengi mno huko wakifundisha English
 
Thank you. Zipo baadh nazifaham za online. Preply na zingne. Nafatlia sema bado kuna mambo hayako sawa
 
Exactly mkuu usikate tamaa ,fight fight fight to achieve your goal, kuna vile vile a lot of south Africans wakifundisha English china, Thailand, pigana
 
WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).

Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri kwa interview muda wowote.

0693215343
Asanteni
Kuwa Mzalendo mkuu, fundisha Kiswahili.
 
Usipoteze muda wako mkuu,nenda far east hiyo ni critical skill (Vietnam, Thailand, even China)

Acha kumdanganya atawezaje kufundisha kiingereza Vietnam or Thailand wakati hajui Lugha za huko.
Ukute yeye anajua kiingereza, Kiswahili labda na Lugha ya kabila lake.
Atawezaje kifundisha kiingereza Thailand wakati hajui Thai language?
 
Mara nyingi wanachukua native speakers. Wa ulaya au marekani.

Mleta mada kama anataka green pastures awe ana pita pita british council huwa wanahitaji waalimu wa kingereza mara chache chache, (nadhani huwaita facilitators) ama sivyo basi mashule ya international huku kwingine “hoi”!
 
Acha kumdanganya atawezaje kufundisha kiingereza Vietnam or Thailand wakati hajui Lugha za huko.
Ukute yeye anajua kiingereza, Kiswahili labda na Lugha ya kabila lake.
Atawezaje kifundisha kiingereza Thailand wakati hajui Thai language?
Huu ume comment upumbavu, it's not worth it mimi kuijibia,wewe endelea ku chase viajira uchwara hapa nchini
 
Wewe ndio umekoment upumbavu utamshauri vipi mtu aende kufundisha Kiingereza China , wakati yeye hajui kichina?
And secondly I am not an employee and never will I look for any kind of employment anywhere, I am not an employee material any more.
Kwa hiyo toa ushauri wa kweli na unaoeleweka .
In order to be able to teach language as a second language to somebody it is crucial for the instructor to know the first language of the student.
Huwezi kumshauri mtu aende China or Thailand akafundishe kiingereza huko wakati hajui kichina na ki Thai .
Wewe ni idiot na Mpumbavu flani usiyeelewa kitu
 
Back
Top Bottom