Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).

Pia nina uzoefu wa kufundKIDT-VTC MOSHI Tunahitaji mwlalimu WA ecd, front office na secretary kwa wanafunzi wa ngazi ya VETA TUWASILIANE 0754469894 /0717157640
 
WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).

Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri kwa interview muda wowote.

0693215343
Asanteni
Omba International school of moshi nternship
 
Kwa passmark yako unaweza kuwa TUTORIAL ASSISTANT UNIVERSITY GPA 3.8kwann usiombe ajira ya kufundisha chuo kwa field uliosomea
 
Kwa passmark yako unaweza kuwa TUTORIAL ASSISTANT UNIVERSITY GPA 3.8kwann usiombe ajira ya kufundisha chuo kwa field uliosomea
Huwa naomba ajira portal ila sijaiona. Nying wanataka masters na mm sina
 
Huwa naomba ajira portal ila sijaiona. Nying wanataka masters na mm sina
Kwa GPA yako, soma Master ya fani yako mkuu,
ukipata GPA ya 4.0,
Umemaliza kabisa changamoto ya ajira.
 
Back
Top Bottom