SaaaaSawa
[emoji2][emoji2] unanienjoy sioUsipoteze muda wako mkuu,nenda far east hiyo ni critical skill (Vietnam, Thailand, even China)
Nn tena[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Why mkuu nifanye hivyo?,Sina cha kunufaika ,ni friendly advice, panua wigo unapotafuta ajira, google mitandao ya far east kuhusu ufundishaji wa kiingereza kwenye nchi hizo, Zimbabweans, Malawians wapo wengi mno huko wakifundisha English[emoji2][emoji2] unanienjoy sio
Thank you. Zipo baadh nazifaham za online. Preply na zingne. Nafatlia sema bado kuna mambo hayako sawaWhy mkuu nifanye hivyo?,Sina cha kunufaika ,ni friendly advice, panua wigo unapotafuta ajira, google mitandao ya far east kuhusu ufundishaji wa kiingereza kwenye nchi hizo, Zimbabweans, Malawians wapo wengi mno huko wakifundisha English
Exactly mkuu usikate tamaa ,fight fight fight to achieve your goal, kuna vile vile a lot of south Africans wakifundisha English china, Thailand, piganaThank you. Zipo baadh nazifaham za online. Preply na zingne. Nafatlia sema bado kuna mambo hayako sawa
Kafanye biashara.Nn tena
Thank you.Exactly mkuu usikate tamaa ,fight fight fight to achieve your goal, kuna vile vile a lot of south Africans wakifundisha English china, Thailand, pigana
Sawa kakaKafanye biashara.
Ajira ni utumwa usiulize mtaji,
kafanye biashara,
usiulize unaanzia wapi,
kafanye biashara.
Kuwa Mzalendo mkuu, fundisha Kiswahili.WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8).
Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri kwa interview muda wowote.
0693215343
Asanteni
Usipoteze muda wako mkuu,nenda far east hiyo ni critical skill (Vietnam, Thailand, even China)
Mara nyingi wanachukua native speakers. Wa ulaya au marekani.Acha kumdanganya atawezaje kufundisha kiingereza Vietnam or Thailand wakati hajui Lugha za huko.
Ukute yeye anajua kiingereza, Kiswahili labda na Lugha ya kabila lake.
Atawezaje kifundisha kiingereza Thailand wakati hajui Thai language?
Huu ume comment upumbavu, it's not worth it mimi kuijibia,wewe endelea ku chase viajira uchwara hapa nchiniAcha kumdanganya atawezaje kufundisha kiingereza Vietnam or Thailand wakati hajui Lugha za huko.
Ukute yeye anajua kiingereza, Kiswahili labda na Lugha ya kabila lake.
Atawezaje kifundisha kiingereza Thailand wakati hajui Thai language?
Huu ume comment upumbavu, it's not worth it mimi kuijibia,wewe endelea ku chase viajira uchwara hapa nchini