Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

Pehraa

Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
15
Reaction score
31
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama,
Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa..
Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
 

Attachments

  • Screenshot_20241121-191833_X.jpg
    Screenshot_20241121-191833_X.jpg
    346 KB · Views: 7
Labda. Ila kwa mtu binafsi sidhani. Maana faida sio kubwa kihivyo. Ufigaji unalipa ukisimamia mwenyewe.
Kila la kheri kwake inawezekana akafanikiwa
Una kariri Sana maisha na Una akili ndogo sana .

Kuna watu wanafuga hadi kuku 5000 na hawana kampuni na wanaajiri hadi watu kumi na kuendelea

Uwe unatumia akili na sio kufanya generalization
 
Back
Top Bottom