Pehraa Member Joined Sep 13, 2024 Posts 15 Reaction score 31 Jan 22, 2025 #1 Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052. Attachments Screenshot_20241121-191833_X.jpg 346 KB · Views: 7
Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jan 22, 2025 #2 Sasa mkuu..faida yote si itaishia kukulipa wewe?
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Jan 22, 2025 #3 Demi said: Sasa mkuu..faida yote si itaishia kukulipa wewe? Click to expand... Labda makampuni ya ufugaji kuku ndiko alikoelekeza ombi lake.
Demi said: Sasa mkuu..faida yote si itaishia kukulipa wewe? Click to expand... Labda makampuni ya ufugaji kuku ndiko alikoelekeza ombi lake.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Jan 22, 2025 #4 realMamy said: Labda makampuni ya ufugaji kuku ndiko alikoelekeza ombi lake. Click to expand... Labda. Ila kwa mtu binafsi sidhani. Maana faida sio kubwa kihivyo. Ufigaji unalipa ukisimamia mwenyewe. Kila la kheri kwake inawezekana akafanikiwa
realMamy said: Labda makampuni ya ufugaji kuku ndiko alikoelekeza ombi lake. Click to expand... Labda. Ila kwa mtu binafsi sidhani. Maana faida sio kubwa kihivyo. Ufigaji unalipa ukisimamia mwenyewe. Kila la kheri kwake inawezekana akafanikiwa
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jan 22, 2025 #5 Malipo yako yakoje?
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 22, 2025 #6 Demi said: Labda. Ila kwa mtu binafsi sidhani. Maana faida sio kubwa kihivyo. Ufigaji unalipa ukisimamia mwenyewe. Kila la kheri kwake inawezekana akafanikiwa Click to expand... Una kariri Sana maisha na Una akili ndogo sana . Kuna watu wanafuga hadi kuku 5000 na hawana kampuni na wanaajiri hadi watu kumi na kuendelea Uwe unatumia akili na sio kufanya generalization
Demi said: Labda. Ila kwa mtu binafsi sidhani. Maana faida sio kubwa kihivyo. Ufigaji unalipa ukisimamia mwenyewe. Kila la kheri kwake inawezekana akafanikiwa Click to expand... Una kariri Sana maisha na Una akili ndogo sana . Kuna watu wanafuga hadi kuku 5000 na hawana kampuni na wanaajiri hadi watu kumi na kuendelea Uwe unatumia akili na sio kufanya generalization
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 22, 2025 #7 All the Best