Eswa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 309
- 908
Habari za Jumapili.?
Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia.
Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa nafanya kazi mwekezaji amefunga biashara yake.
Wasifu wangu (CV) na ninaweza kuutuma kwa atakayehitaji ili niweze kupata kazi.
Ninatanguliza shukrani zangu za dhati.
Asanteni sana.