Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

Kafirnyau

Member
Joined
Jul 2, 2020
Posts
36
Reaction score
24
Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade.

Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies.

Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi wote wa bihashar, pia hata ya usiku niko tayar, Na exposure ya kutosha najiamn kwa ilo, Naongea kingereza na kiswahili.

Niko tayari kufanya mkoa wowte dar n mradi wa bihashara yoyote ile usimamzi.

Ni pm or email yangu kafirnyau@gmail.com
 
Badili hiko kichwa cha habari
Sio bihashara
Ni biashara
 
Back
Top Bottom