Mkuu, nenda bulungwa kule naona kuna fursa.Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume.
Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
Kiasi chakeUnaweza kupaka rangi mkuu...?
Ipo wapiMkuu, nenda bulungwa kule naona kuna fursa.
Wewe sio mtu wa kazi. Saidia fundi unakuja kuandika uzi JF badala ya kudamka na kwenda kwenye sites za ujenzi? Mtu kama wewe ni mzigo kwa taifa.Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume.
Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
Siku hizi hata huko ni connection ujue, ukienda holela holela hupatii.Wewe sio mtu wa kazi. Saidia fundi unakuja kuandika uzi JF badala ya kudamka na kwenda kwenye sites za ujenzi? Mtu kama wewe ni mzigo kwa taifa.
Bora umetusaidia kumjibu.Siku hizi hata huko ni connection ujue, ukienda holela holela hupatii.
Huyo yuko Lumumba anapata buku 7 kila siku, ndo maana hajui hayo.Bora umetusaidia kumjibu.
Halafu labda huwenda hafahamu kuwa JF ina watu
Hahaha nimesoma jina lake ndiyo nimeelewaHuyo yuko Lumumba anapata buku 7 kila siku, ndo maana hajui hayo.
Wewe si upo kahama? Waulize wananzengoIpo wapi
Wewe mbona nimekuwa nikiamini ni mtu mwenye akili timamu kwa miaka mingi sasa? Kuna siku ulinijibu umesoma Mlimani au ni Mlimani Bar ya Magugu na sio UDSM?Huyo yuko Lumumba anapata buku 7 kila siku, ndo maana hajui hayo.
Kazi ya saidia fundi ilifanys yule Mhindi akimbie mbio saana.Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume.
Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nimesoma jina lake ndiyo nimeelewa
Jalalaniiiiiii by Kabudi's voice.[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mbona nimekuwa nikiamini ni mtu mwenye akili timamu kwa miaka mingi sasa? Kuna siku ulinijibu umesoma Mlimani au ni Mlimani Bar ya Magugu na sio UDSM?