Duh Mwampalile na mabuti yakeKama utaweza mkuu anza biashara ndogondogo hapo dar ...uku unatuma maomb sehem mbali x2 unweza pata...msalimie mwapalile,sago,magoti,kahagwa,prof.njabili,briton,mwambapa,asheli,mganda,kifyasi,magan,na wengine wengine...bila kusahau anagisye kwenye ethics of teaching
Hahahahahaaha!jamaa yule sijui ypoje yaan MTU anapokea karbia 3.5 million lakin alivo uwezi aminiDuh Mwampalile na mabuti yake
Unataka pesa au unataka ualimu?Ahsante sana kwa ushauri wako. Lakini mimi napenda kuwa mwalimu
Bila shaka nimeeleza ndugu yangu, labda nieleze tena: Historia na Kiingereza.Tatizo haujaeleza masomo unayofundisha ningemshawishi mshua akakuchomeka kwenye shule yake inaitwa WINAM CARIER. SEC W
IPO LAMADI MKOA WA SIMIYU , wilaya ya busega
sent from HUAWEI
Swali zuri.Unataka pesa au unataka ualimu?
Hii sio kazi, bali ni adhabu ama unyanyasajiJe utaweza kufundisha kuanzia sa 12 alfjr mpaka 0.00 usku?
Wenzako tulikuwa tunafanyaa hizo kabla hatujakimbia kuna shule hapa mjin wanafanya hivo unataka ushaid achana na hiz ptivate ww wana dudu usipimeHii sio kazi, bali ni adhabu ama unyanyasaji
Good boy!Swali zuri.
Nina shida ya pesa lakini naamini taaluma yangu ndiyo njia ya kutafutia ajira ya kupata pesa.
Ila sasa ninaweza kufanya kazi yoyote halali ili mradi tu haimkosei Mungu wala kuvunja sheria za nchi.
Subiri mitano tena iishe.Ahsante sana kwa ushauri wako. Lakini mimi napenda kuwa mwalimu
Poleni sana walimu, kwakweli sikuahi kufahamu hiliWenzako tulikuwa tunafanyaa hizo kabla hatujakimbia kuna shule hapa mjin wanafanya hivo unataka ushaid achana na hiz ptivate ww wana dudu usipime
Usiwe mtumwa wa tumbo,kazi masaa kumi na mbili kwa siku wewe siyo binadamu Kama wengine?Habari za saa hizi ndugu zangu,
Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi.
Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript).
Masomo ya kufundishia: Kiingereza na Historia.
Niko tayari kufanya kazi hata masaa kumi na mbili kwa siku.
Niko tayari pia kufanya kazi hata nje ya mkoa.
Nitashkuru sana ombi langu litazingatiwa.
Maybe Karma worksDah nimesoma ombi lako ,nikakukumbuka kipindi unamcheka jamaa aliyedisco kisa kuchelewa mitihani ya mwisho asubuhi ,kutokana na kuwa lindo usiku,chini ya Kampuni ya GARDA ,dah na leo anaendesha maisha yake ,duh mungu akusaidie kaka ila jamaa anakusalimia anasema ukikosa kwa kula na kulala karibu atakuhifadhi ndugu .