Natafuta kazi ya ualimu wa Biology na Chemistry

Natafuta kazi ya ualimu wa Biology na Chemistry

Nyanokwe96

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
22
Reaction score
12
Mimi Ni kijana wa miaka 26

Nina shahada sayansi na elimu (mwalimu wa chemistry na biology)

Nimeoa naombeni mwenye connection ya kazi yoyote anisaidie kwani napitia kipindi kigumu

Nina uzoefu wa kufundisha na pia na kazi zingine naweza kufanya mimi

Ni mtiifu na nitafanya kazi kwa uwaminifu mkubwa
 
Back
Top Bottom