Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

Daaaaah aisee fanya hata QT baada ya miaka 3 utakuja kuniambia faida yake kama tukiwa hai kiongozi...!

Ukipata cheti cha form four aisee wewe ni ALMASI inayotembea ndugu yangu. Fanya hivyo kaka.
 
Daaaaah aisee fanya hata QT baada ya miaka 3 utakuja kuniambia faida yake kama tukiwa hai kiongozi...!

Ukipata cheti cha form four aisee wewe ni ALMASI inayotembea ndugu yangu. Fanya hivyo kaka.
Neno (ushauri, nk.) jema ni sadaka! Nakushukuru sana Bro. kwa ushauri wako thamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…