Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

harold mbise

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
55
Reaction score
12
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4.

Chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam

Mawasiliano 0762 395595
 
Pole mkuu.
TASAF walitangaza uhitaji wa 6 drivers na kumbe mwisho ilikua tarehe 30 September
 
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4
chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam

Mawasiliano 0625 544996

Umepataje hizo 3Cs bila ya kuwa na E...?
 
Watu wa siku hizi hamusaidki, mnataka spoon feeding sana. Yaani mnataka mfanyiwe hatua zote mpaka mnapata kazi kama enzi zileee!
Ukijitolea kumsaidia inabidi upoteze muda wako, pesa n.k
Kama uko dar kwasasa nenda TEMEASA M.T DEPOT na TEMESA KIKOSI CHA UMEME kuna nafasi za madereva kadhaa ila leseni yako iwe na C plain.
 
C plain ndyo cna kwasababu ya cheti pia umri
 
Watu wa siku hizi hamusaidki, mnataka spoon feeding sana. Yaani mnataka mfanyiwe hatua zote mpaka mnapata kazi kama enzi zileee!
Ukijitolea kumsaidia inabidi upoteze muda wako, pesa n.k
Kama uko dar kwasasa nenda TEMEASA M.T DEPOT na TEMESA KIKOSI CHA UMEME kuna nafasi za madereva kadhaa ila leseni yako iwe na C plain.
Ngoja niangalie sehem, jana niliona kazi zako
pouwaaa mkuu ntashukuru
 
Huwezi kupata C123 bila ya kuwa na E.

Nimeona nikujibu kwa ufasaha kidogo ukienda
NIT pale kuna kozi ya VIP ambayo ukisoma na ukimaliza kusoma ukapata cheti ukienda chukua leseni unatakiwa upate class C1 C2 C3 na kigezo cha kusoma hiyo kozi pale lazima uwe na leseni class d au e ambayo imetumika ndani ya mwaka mmoja sasa mm nilikuwa na d ndyo nikaenda soma VIP na nikapata hizo hapo nazani umeelewa
 
habari mwenye kuhitaji dereva kwa ajili ya kuendesha gari ya uber iwe ya mkataba au kawaida anione kwa namba 0718669921 Mungu awabariki. uaminifu katika kazi umakini katika chombo asilimia 90
 
Habari naitwa harold ni dereva wa uber nina uzoefu wa miaka 4 katika kuendesha uber natafuta gari ya mkataba kwa mawasiliano zaidi waweza ntafuta kwa namba 0718669921
 
Habari naitwa Harold mkazi wa Dar es salaam kinyerezi nipo hapa kutafuta kazi ya udereva
Elimu yangu
kidato cha 4
Chuo cha usafirishaji (NIT) corse ya VIP
Leseni yangu class A B C1 C2 C3 D
Mawasiliano yangu
0718 669921
0762395595
16096091482820.34075612226663654.jpg
16096092308470.1854378341706613.jpg
 
Nimeona nikujibu kwa ufasaha kidogo ukienda
NIT pale kuna kozi ya VIP ambayo ukisoma na ukimaliza kusoma ukapata cheti ukienda chukua leseni unatakiwa upate class C1 C2 C3 na kigezo cha kusoma hiyo kozi pale lazima uwe na leseni class d au e ambayo imetumika ndani ya mwaka mmoja sasa mm nilikuwa na d ndyo nikaenda soma VIP na nikapata hizo hapo nazani umeelewa
Kwaiyo mimi mwenye D pekee naeza kwenda kusoma VIP//D yangu ina mwaka mmoja na nusu
 
Back
Top Bottom