harold mbise
Member
- Aug 12, 2013
- 55
- 12
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4
chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam
Mawasiliano 0625 544996
C plain ndyo cna kwasababu ya cheti pia umriWatu wa siku hizi hamusaidki, mnataka spoon feeding sana. Yaani mnataka mfanyiwe hatua zote mpaka mnapata kazi kama enzi zileee!
Ukijitolea kumsaidia inabidi upoteze muda wako, pesa n.k
Kama uko dar kwasasa nenda TEMEASA M.T DEPOT na TEMESA KIKOSI CHA UMEME kuna nafasi za madereva kadhaa ila leseni yako iwe na C plain.
Kwasababu sikuwa na cheti cha kupata leseni class E nasikutumia ujanjajanja kupata leseni ni cheti changu ndyo kimenipaUmepataje hizo 3Cs bila ya kuwa na E...?
Watu wa siku hizi hamusaidki, mnataka spoon feeding sana. Yaani mnataka mfanyiwe hatua zote mpaka mnapata kazi kama enzi zileee!
Ukijitolea kumsaidia inabidi upoteze muda wako, pesa n.k
Kama uko dar kwasasa nenda TEMEASA M.T DEPOT na TEMESA KIKOSI CHA UMEME kuna nafasi za madereva kadhaa ila leseni yako iwe na C plain.
pouwaaa mkuu ntashukuruNgoja niangalie sehem, jana niliona kazi zako
Kwasababu sikuwa na cheti cha kupata leseni class E nasikutumia ujanjajanja kupata leseni ni cheti changu ndyo kimenipa
Sawa mkuuHuwezi kupata C123 bila ya kuwa na E.
Huwezi kupata C123 bila ya kuwa na E.
Course niliyosomea haikuwa na class E sababu nimesoma pale NIT course ya VIP na cheti kinaniruhusu nipate madaraja hayoUmepataje hizo 3Cs bila ya kuwa na E...?
Kwaiyo mimi mwenye D pekee naeza kwenda kusoma VIP//D yangu ina mwaka mmoja na nusuNimeona nikujibu kwa ufasaha kidogo ukienda
NIT pale kuna kozi ya VIP ambayo ukisoma na ukimaliza kusoma ukapata cheti ukienda chukua leseni unatakiwa upate class C1 C2 C3 na kigezo cha kusoma hiyo kozi pale lazima uwe na leseni class d au e ambayo imetumika ndani ya mwaka mmoja sasa mm nilikuwa na d ndyo nikaenda soma VIP na nikapata hizo hapo nazani umeelewa
Aisee mjibu jamaa hapo juu kiongozi...!Course niliyosomea haikuwa na class E sababu nimesoma pale NIT course ya VIP na cheti kinaniruhusu nipate madaraja hayo
Kwa mwenye leseni yenye D inatakiwa iwe imetumika ndani ya miaka 2Kwaiyo mimi mwenye D pekee naeza kwenda kusoma VIP//D yangu ina mwaka mmoja na nusu
Ungekuwa na C ningekupa kazi!Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4.
Chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es salaam
Mawasiliano 0762 395595