Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

Nahitaji mdada 1 mwengine kwa ajili ya mafunzo ya ucashier ajira nihapo hapo baada ya kumaliza mafunzo kazi ipo nungwi Zanzibar tuwasiliane 0687014106
 
Hawa watu ni madalali wa kazi so be care, wanatakaga hela wewe usilipe hela kwanza mpaka upate
 
Eleza sifa au tangazo linaendelea?
 
Back
Top Bottom