peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Feb 26, 2024 #1 Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Feb 26, 2024 #2 peno hasegawa said: Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA. Click to expand... Miradi IPO ungesema upo mkoa gani ili uelekezwe sehemu ya kwenda kufanya kazi
peno hasegawa said: Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA. Click to expand... Miradi IPO ungesema upo mkoa gani ili uelekezwe sehemu ya kwenda kufanya kazi
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Feb 26, 2024 Thread starter #3 DR HAYA LAND said: Miradi IPO ungesema upo mkoa gani ili uelekezwe sehemu ya kwenda kufanya kazi Click to expand... Niko Tabora
DR HAYA LAND said: Miradi IPO ungesema upo mkoa gani ili uelekezwe sehemu ya kwenda kufanya kazi Click to expand... Niko Tabora
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Feb 26, 2024 #4 peno hasegawa said: Nitamtafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA. Click to expand... Ingia kwenye Mfumo wa Ununuzi Serikalini NEST kila kitu kiko wazi kwa wote, utaona miradi yoote ya Nchi nzima bila connection Mkuu.
peno hasegawa said: Nitamtafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA. Click to expand... Ingia kwenye Mfumo wa Ununuzi Serikalini NEST kila kitu kiko wazi kwa wote, utaona miradi yoote ya Nchi nzima bila connection Mkuu.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 26, 2024 #5 Vijana mna feli sana aiseee.... Yaani umeshindwa hata kusema kwamba unajua nini na unauzoefu wa muda gani??
Vijana mna feli sana aiseee.... Yaani umeshindwa hata kusema kwamba unajua nini na unauzoefu wa muda gani??
Mchunguzi Fukara JF-Expert Member Joined Dec 23, 2021 Posts 215 Reaction score 274 Feb 26, 2024 #6 Ushimen said: Vijana mna feli sana aiseee.... Yaani umeshindwa hata kusema kwamba unajua nini na unauzoefu wa muda gani?? Click to expand... Huyo atakuwa dalali
Ushimen said: Vijana mna feli sana aiseee.... Yaani umeshindwa hata kusema kwamba unajua nini na unauzoefu wa muda gani?? Click to expand... Huyo atakuwa dalali