Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Habari ndugu zangu! Kiukweli niko kwenye SURVIVAL MODE hali ni mbaya sana ground ni pamoto kwakweli moja haikai wala mbili haikai naombeni kwa mwenye connection ya kazi ya ULINZI as a stepping stone anisaidie ndugu zangu.
Jinsia : Mwanaume
Umri : Miaka 25
Elimu : Shahada ya Kwanza
Mafunzo : JKT miaka 2
Basic Driving : Chuo X nina leseni pia ingawa uzoefu wa muda mfupi.
Najua pia kutumia Silaha.
Nafahamu kutumia Computer.
NAPATIKANA DAR ES SALAAM- KIGAMBONI,
Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunishika mkono naombeni msaada waungwana. Yoyote mwenye connection ya kazi ya ULINZI naomba anisaidie wakuu. Mungu awalindeni na kuwabariki ndugu zangu.