Natafuta kazi ya ulinzi, nisaidieni ndugu zangu

Natafuta kazi ya ulinzi, nisaidieni ndugu zangu

Mwaka 2000 kabla sijasimama nilipiga ulinzi kama mwaka mzima niliomba niwe naingia night so asubuhi napiga maji navua gwanda naingia mjini kupambana na ishu za umachinga jioni naingia kipindi saa moja nageuka lindoni nguo tulikuwa tunaachia lindoni hadi nilipotoboa so safari uanza na hatua
 
Habari ndugu zangu! Kiukweli niko kwenye SURVIVAL MODE hali ni mbaya sana ground ni pamoto kwakweli moja haikai wala mbili haikai naombeni kwa mwenye connection ya kazi ya ULINZI as a stepping stone anisaidie ndugu zangu.

Jinsia : Mwanaume

Umri : Miaka 25

Elimu : Shahada ya Kwanza

Mafunzo : JKT miaka 2

Basic Driving : Chuo X nina leseni pia ingawa uzoefu wa muda mfupi.

Najua pia kutumia Silaha.

Nafahamu kutumia Computer.

NAPATIKANA DAR ES SALAAM- KIGAMBONI,

Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunishika mkono naombeni msaada waungwana. Yoyote mwenye connection ya kazi ya ULINZI naomba anisaidie wakuu. Mungu awalindeni na kuwabariki ndugu zangu.
Kwa elimu yako mbona kwenye hizi giant Security companies zote unafit? kwa mfano SGA, Guardal world, G4s nk. Usikae ndani toka nje pambana ukiwa kwenye uwanja wa vita. Hutokosa pa kujishikiza kila siku mimi bado nitawashauri kuwa priavate Security field au corperate security bado kuna wigo mpana sana wa ajira ikiwa tu utafahamu ku-unllock code zake. Kwa sasa nashuhudia watu wa marketing, HR nk wakishift kwenda upande wa security ambapo wanalipwa mishahara mikubwa tu ya kuweza kuishi. Ukishaingia huko ukafanya Certification kama PSP, CPP, CPD SRMP-C/R na CSMP.
 
Una gamba Moja la hatari sana we sio mtu wa kawaida utapata tu kazi ndugu yangu
 
IMG-20250214-WA0010.jpg
 
Kuna kampuni inahitaji walinzi kwa haraka zaidi ,..njoo ubungo liverside 0783751506
 
Back
Top Bottom