Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Angalia leseni ya udereva ikusaidie huko kwenye ulinzi ni kugumu sana wengi mishahara yao hata 300k haifiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru ndugu, Garda, g4s na sga, insight kote nishapita ila ngoma bila bila ndiyo maana nimekuja humu kuomba msaada aseehNimeona threads nyingi vijana wenzangu hawajui waanzie wapi baada ya kumaliza masomo ,nimeleta mbinu kadhaa kwa ufupi zitakazo wasaidia kupata kazi ikiwezekana kwa muda mfupi sana.
Ombeni internship kupitia TAESA, ombeni volunteering kwenye mashirika ya kimataifa yaliyopo nchini (kwa kujaza online kupitia website zao)
msiogope kusambaza CV kwenye kampuni za ulinzi mfano Dar nenda ironside security ofisi zao zipo rose garden mikocheni hata mm nilianzia huko ni subsidiary ya SGA. pia peleka Cv zako G4s ,garda world .
usisahau pia kupeleka cv kwenye taasis changa za fedha kama asa microfinance kule kinondoni makaburini wana recruits daily, brac maendeleo pia . lastly,jisajili ajira portal apply kazi ta taaluma yako ukiwa feat kwenye paper utatoboa tu .
fanya hayo yote ukiomba MUNGU SANA, lkn pia hata upande wa pili ukitumia sio mbaya kikubwa upate kazi kozi naelewa msoto wa kitaa ulivyo
Kaka 300k mbona parefu, Wana lipwa 150k na yenyewe ya matusi.Angalia leseni ya udereva ikusaidie huko kwenye ulinzi ni kugumu sana wengi mishahara yao hata 300k haifiki
Anko Mshana Jr si ali kuambia umtafute au huja ona comment yake??Bado natafuta kazi ndugu zangu.
Tuwasiliane.. Ama muda huu amka jiandae ufike mlandizi nitakupa directions
We Mijadala Migumu wafate pmKwanza hongera kwa uthubutu ulioamua kuufanya katika Maisha usikubali elimu ikufunike
Kama ni kazi ya ulinzi nicheki pm nikupe pa kuanzia mkuu maana nasi kipindi tunajitafuta tulipita humo
call for interview yao huwa wana angalia idadi ya applicants ifikie idadi kadhaa so kuwa na subra chief, ila pole sana man . na hapo juu naona bro Mshana Jr alikuahidi kazi jaribu kumzingatiaNashukuru ndugu, Garda, g4s na sga, insight kote nishapita ila ngoma bila bila ndiyo maana nimekuja humu kuomba msaada aseeh
Nahitaji hiyo nafasi pia ya ulinzi bro msdhana. Lakini nashindwa kkuandikia message pm.Nadhani hakuwa serious
Naku check vipi na pm umefunga bro?nicheki