Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Amina braza ubarikiwe.Bila kuchoka kiongozi, wacha tuwangoje, mungu awe na wewe.
Tuwasiliane.. Ama muda huu amka jiandae ufike mlandizi nitakupa directionsHabari ndugu zangu! Kiukweli niko kwenye SURVIVAL MODE hali ni mbaya sana ground ni pamoto kwakweli moja haikai wala mbili haikai naombeni kwa mwenye connection ya kazi ya ULINZI as a stepping stone anisaidie ndugu zangu.
Jinsia : Mwanaume
Umri : Miaka 25
Elimu : Shahada ya Kwanza
Mafunzo : JKT miaka 2
Basic Driving : Chuo X nina leseni pia ingawa uzoefu wa muda mfupi.
Najua pia kutumia Silaha.
Nafahamu kutumia Computer.
NAPATIKANA DAR ES SALAAM- KIGAMBONI,
Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunishika mkono naombeni msaada waungwana. Yoyote mwenye connection ya kazi ya ULINZI naomba anisaidie wakuu. Mungu awalindeni na kuwabariki ndugu zangu.
Hali ni mbaya, 25 yrs old graduate anatafuta kazi ya ulinzi! Msaidieni mwenye kuweza.Tuwasiliane.. Ama muda huu amka jiandae ufike mlandizi nitakupa directions
Nimeshampa muongozo.. Ila hapa ndipo tulipofikishwa...Hali ni mbaya, 25 yrs old graduate anatafuta kazi ya ulinzi! Msaidieni mwenye kuweza.
Unapoenda kwa Mshana huko Mlandizi hakikisha Una referee wawili wa uhakika kama vile unawaweka 'Bond' eg Baba, Kaka mjomba Shangazi ambaye ana dhamana binafsi kama nyumba, ameajiliwa serikalini etc, hii itaongeza uaminifu kwenye Mali za watuTuwasiliane.. Ama muda huu amka jiandae ufike mlandizi nitakupa directions
Ubarikiwe Mshana Jr , yaani huyu dogo umri wake sawa mwanangu wa 2, inasikitisha sana. Leo ni graduate anaomba kazi ya ulinzi? Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana.Nimeshampa muongozo.. Ila hapa ndipo tulipofikishwa...
Tuko busy na vitu visivyo na maana kabisa, tulipokosea ni pale tulipoipa siasa thamani na hadhi kubwa kuliko taaluma na welediUbarikiwe Mshana Jr , yaani huyu dogo umri wake sawa mwanangu wa 2, inasikitisha sana. Leo ni graduate anaomba kazi ya ulinzi? Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana.
Naona kapotea hewaniUnapoenda kwa Mshana huko Mlandizi hakikisha Una referee wawili wa uhakika kama vile unawaweka 'Bond' eg Baba, Kaka mjomba Shangazi ambaye ana dhamana binafsi kama nyumba, ameajiliwa serikalini etc, hii itaongeza uaminifu kwenye Mali za watu
Mkuu mbona kawaida Sana, nimekutana na Vijana wa hivyo wengi Tu kwenye NGO kubwa kubwa, Migodini ndio usiseme, miradi mikubwa ya Ujenzi kama kule Rufiji na daraja la Busisi Mwanza, hawa wanaopita mtaani wakiuza laini za Tigo, Halotel, Airtel wengine Ni graduate wa IFM sasa Ole wako ufanye makosa ya kiufundi kwa akili yako hapo ndio utajuta kwanini FAM wamemwamgusha huku wakimchekeleaHali ni mbaya, 25 yrs old graduate anatafuta kazi ya ulinzi! Msaidieni mwenye kuweza.
Au alitoka Kula shisha na saa hii amelalaNaona kapotea hewani
Hana bando ana hali mbaya huyuAu alitoka Kula shisha na saa hii amelala
Respect brother.Tuwasiliane.. Ama muda huu amka jiandae ufike mlandizi nitakupa directions
πͺπΏππΏ muhimu kushikana mikono hata kama hatufahamianiRespect brother.
Mkuu hakuna kazi za mikoani huku una connection nazo utushike mkonoπͺπΏππΏ muhimu kushikana mikono hata kama hatufahamiani