Natafuta kazi ya upishi

Natafuta kazi ya upishi

Rajabu mjanga

New Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Habari,

Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022.

Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian, na pia najua kupika vyakula vya Tz, Kama wali, pila, nk,

Nilikuwa natafuta kazi ya upishi iwe napatika kwa namba +255628863418 🙏
 
Naona unajua kupika vyakula vya wazungu tu.
What if nikitaka kukupa kazi ya kuwa unanipikia ugali wa mtama tu utaweza kweli yakhe?
 
kwangu nina kazi ya ujenzi njoo uanze kazi kesho, kwa kutwa posho ni 30,000 saidia fundi.
 
Habari,

Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022.

Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian, na pia najua kupika vyakula vya Tz, Kama wali, pila, nk,

Nilikuwa natafuta kazi ya upishi iwe napatika kwa namba +255628863418 🙏
bado una uhitaji wa kazi?
Nmekuchek whatsap mkuu
nachoma nyama
naomba unitumie maelezo kuonyesha uzoefu wako kupitia: whynotinn2021@gmail.com au whatsapp 0718003601
 
Back
Top Bottom