Kipengeleto
Member
- Feb 21, 2024
- 47
- 90
Mkuu umemaliza chuo 2023 au 2013 ?Habarini za jioni wadau was jf,Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi,zichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya.asanteni
2013 mkui,Hadi nimemkata tamaa kabisaMkuu umemaliza chuo 2023 au 2013 ?
Elimu ya bongo Ni hovyo kabisa ,Bora hata huo muda WA kusoma hio degree ungekula bangii2013 mkui,Hadi nimemkata tamaa kabisa
WatElimu ya bongo Ni hovyo kabisa ,Bora hata huo muda WA kusoma hio degree ungekula bangii
Niconnect basi nipate hyo kazi mkuuWee ndiyo tatizo. Kwa kozi hiyo Huwezi kosa kazi mtaani miaka 10
UtapataHabarini za jioni wadau wa JF,
Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya.
Asanteni
Mkuu unachosema kweli umesoma maendeleo ya jamii umehitimu 2013 una ajira? Sorry umesoma chuo gani? Now hupo wapi?
Hata kuanzia 200,000 sio mbaya,maana Nina familia mkuuMshahara uanzie kiasi gani