Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

Inategemea na wewe mwenyewe, kuna watu wanaingiza chini ya hapo na wanatoboa, uzuri wa dar unaweza fanya kazi zaidi ya moja. Ni wewe tu kuukataa usingizi.
Sikupingi kaka, ndo maana tunakuja huku kutafuta hizi connection
 
Hizo kaka zipo nyingi tu. Utakata tamaa utaamka tena utapambana sana. Utakuja utakata tamaa tena! Kun vipindi kwenye maisha vinairudia rudia sana hasa kama hujafanikiwa kutoka kwenye umaskin. Hii hali ipo na wewe mpaka ujipate au ufe!
Sure sure
 
Sure sure
Kuna moment ukitichunguza sana kwenye maisha utazikuta zimejirudia kwako zaid ya mara moja. Kuna siku utapitia kipindi kigum sana, kula hujui utakula nn, simu haina vocha na hujala hta uwezo wa kutembea huna sabab ya njaa.

Utakuja utapata nafuu na kusahau, utakutana na kipindi kizur cha kujilowaza na kuseto! Ukiyumba utarud palepale ulipoanzia. Hii hali ipoo.. kuna mzee wangu aliwah kufanya kz nzur mahala, akatimulia siku 3 baada ya kuoa mke. Alisaga meno na mkewe hapo ndo ndoa mpya. Jamaa akapiga mpaka ulinzi mke ale
 
Mibuyu yetu inahitaji umakini kwenye kuikuza mkuu, ukijisahau kidogo kuumwagilia unanyauka
 
Wakuu, rejea hapo juu.

Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu.

Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana

Asanteni
Unaujuzi wa kuendesha trector au powertillar kuna hekal za kutosha hapa kwakuwa unachet cha jkt utakuwa safi nicheck
 
Back
Top Bottom