Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Mkuu hiyo 10k kwa dar ni kutafutia tumbo tuKwanini mkuu?
Kila la heri
Inategemea na wewe mwenyewe, kuna watu wanaingiza chini ya hapo na wanatoboa, uzuri wa dar unaweza fanya kazi zaidi ya moja. Ni wewe tu kuukataa usingizi.Mkuu hiyo 10k kwa dar ni kutafutia tumbo tu
Sikupingi kaka, ndo maana tunakuja huku kutafuta hizi connectionInategemea na wewe mwenyewe, kuna watu wanaingiza chini ya hapo na wanatoboa, uzuri wa dar unaweza fanya kazi zaidi ya moja. Ni wewe tu kuukataa usingizi.
Ziseme hizo kazi hapa uelekeze zilipo mkuu kulala si ishu sanaInategemea na wewe mwenyewe, kuna watu wanaingiza chini ya hapo na wanatoboa, uzuri wa dar unaweza fanya kazi zaidi ya moja. Ni wewe tu kuukataa usingizi.
Ma legendary tunaelekea kukata tamaa ChiefZiseme hizo kazi hapa uelekeze zilipo mkuu kulala si ishu sana
Hizo kaka zipo nyingi tu. Utakata tamaa utaamka tena utapambana sana. Utakuja utakata tamaa tena! Kun vipindi kwenye maisha vinairudia rudia sana hasa kama hujafanikiwa kutoka kwenye umaskin. Hii hali ipo na wewe mpaka ujipate au ufe!Ma legendary tunaelekea kukata tamaa Chief
Sure sureHizo kaka zipo nyingi tu. Utakata tamaa utaamka tena utapambana sana. Utakuja utakata tamaa tena! Kun vipindi kwenye maisha vinairudia rudia sana hasa kama hujafanikiwa kutoka kwenye umaskin. Hii hali ipo na wewe mpaka ujipate au ufe!
Kuna moment ukitichunguza sana kwenye maisha utazikuta zimejirudia kwako zaid ya mara moja. Kuna siku utapitia kipindi kigum sana, kula hujui utakula nn, simu haina vocha na hujala hta uwezo wa kutembea huna sabab ya njaa.Sure sure
Mibuyu yetu inahitaji umakini kwenye kuikuza mkuu, ukijisahau kidogo kuumwagilia unanyaukaKuna moment ukitichunguza sana kwenye maisha utazikuta zimejirudia kwako zaid ya mara moja. Kuna siku utapitia kipindi kigum sana, kula hujui utakula nn, simu haina vocha na hujala hta uwezo wa kutembea huna sabab ya njaa.
Utakuja utapata nafuu na kusahau, utakutana na kipindi kizur cha kujilowaza na kuseto! Ukiyumba utarud palepale ulipoanzia. Hii hali ipoo.. kuna mzee wangu aliwah kufanya kz nzur mahala, akatimulia siku 3 baada ya kuoa mke. Alisaga meno na mkewe hapo ndo ndoa mpya. Jamaa akapiga mpaka ulinzi mke ale
Kuna wale maligendary wanakodiwa kugegeda wanaoiba waume za watuZiseme hizo kazi hapa uelekeze zilipo mkuu kulala si ishu sana
So sad ChiefKuna wale maligendary wanakodiwa kugegeda wanaoiba waume za watu
Marufuku kukata tamaa bossMa legendary tunaelekea kukata tamaa Chief
Sure sure mkuuMarufuku kukata tamaa boss
Hiyo michezo ya kaumuluti mkuu sio kazi.. ni hobbyKuna wale maligendary wanakodiwa kugegeda wanaoiba waume za watu
Komaa mzee kulia lia haisaidii kitu!Mibuyu yetu inahitaji umakini kwenye kuikuza mkuu, ukijisahau kidogo kuumwagilia unanyauka
Kabisa kabisa mwambaKomaa mzee kulia lia haisaidii kitu!
Unaujuzi wa kuendesha trector au powertillar kuna hekal za kutosha hapa kwakuwa unachet cha jkt utakuwa safi nicheckWakuu, rejea hapo juu.
Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu.
Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana
Asanteni