Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

Nicheki whatsapp call sms 0756704145
 
Nenda na CV yako TEMESA makao makuu DSM, muone mtendaji mkuu.
Mwambie umetumwa na Profesa Bemendazole akupatie ajira ya kudumu.
Akikurudisha, nichek inbox.
 
Nenda na CV yako TEMESA makao makuu DSM, muone mtendaji mkuu.
Mwambie umetumwa na Profesa Bemendazole akupatie ajira ya kudumu.
Akikurudisha, nichek inbox.
Ajira za TEMESA si mpaka ajira portal kuomba ?
 
Ajira za TEMESA si mpaka ajira portal kuomba ?
Yaani upewa dili alafu unaanza tena kumfundisha mtu ambae amekupa maelekezo, kwa nini yeye hajui kuwa ajira zinatangazwa utumishi ? Umemjua yeye ni nani? Daah vijana poleni
 
huyu chalii ni mpumbafu kwa namna naijua JF tangu 2015 usichukulie poa watu humu ndani....Ningekuwa mimi yeye kesho .navaa suruali yangu ya kipaimara na four angle mbio mbio TEMESA

sasa yeye yupo ooh ajira blah blah kujua sana mambo nayo ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…