Charz juma New Member Joined Apr 13, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Feb 23, 2022 #1 Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Feb 23, 2022 #2 Ujatoa taarifa zote umesoma wapi weka na kapicha
Charz juma New Member Joined Apr 13, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Feb 23, 2022 Thread starter #3 Binadamu Mtakatifu said: Ujatoa taarifa zote umesoma wapi weka na kapicha Click to expand... Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
Binadamu Mtakatifu said: Ujatoa taarifa zote umesoma wapi weka na kapicha Click to expand... Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Feb 23, 2022 #4 Binadamu Mtakatifu said: Ujatoa taarifa zote umesoma wapi weka na kapicha Click to expand... Acha utani watu wanatafuta kazi picha ya nini sasa ?
Binadamu Mtakatifu said: Ujatoa taarifa zote umesoma wapi weka na kapicha Click to expand... Acha utani watu wanatafuta kazi picha ya nini sasa ?
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,226 Reaction score 8,879 Feb 24, 2022 #5 adriz said: Acha utani watu wanatafuta kazi picha ya nini sasa ? Click to expand... lakini siunaona dogo bishoo kaz gan anaweza
adriz said: Acha utani watu wanatafuta kazi picha ya nini sasa ? Click to expand... lakini siunaona dogo bishoo kaz gan anaweza
EAPGS JF-Expert Member Joined Jun 17, 2021 Posts 282 Reaction score 334 Feb 24, 2022 #6 Upo mkoa gani?
Charz juma New Member Joined Apr 13, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Feb 25, 2022 Thread starter #7 EAPGS said: Upo mkoa gani? Click to expand... Nipo Mwanza