Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

makame clan

Member
Joined
Aug 23, 2023
Posts
6
Reaction score
2
Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection.

Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
 
Upo wapi kwa sasa?!! Tanga mwenyeji wa sehemu gani haswa?!!
 
Hakuna kazi yoyote mkuu, upande gani unauzoefu nao ili wadau wa tanga wajue moja

Ata Kama life tight, shughulisha akili yako vyema
 
Mkuu hawa Graduates wanasumbua sana. Angalia tangazo lake ameliweka kibabe utadhani shida ni zetu

Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.

Yeye hajaweka namba yake hapa lakini anataka watu waweke zao. Hii ni dharau.
 
Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection.

Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
upo sehemu gani Tanga.

Acha kuwa na aibu.

Lushoto
Bumbuli
Korogwe
Kilindi
Mkinga
Mheza
Handeni
Pangani
TANGA MJINI.
 
Mkuu hawa Graduates wanasumbua sana. Angalia tangazo lake ameliweka kibabe utadhani shida ni zetu

Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.

Yeye hajaweka namba yake hapa lakini anataka watu waweke zao. Hii ni dharau.
Boss amtafute [emoji1][emoji1]
 
Mkuu hawa Graduates wanasumbua sana. Angalia tangazo lake ameliweka kibabe utadhani shida ni zetu

Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.

Yeye hajaweka namba yake hapa lakini anataka watu waweke zao. Hii ni dharau.
Ni sahihi
 
Back
Top Bottom