Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

Unatamani/unaomba kazi nje ya bongo, lakini haujawa na utayari wa kutoka nje ya bongo (hauna gamba)
 
Huo ugonjwa wa R na L ata JPM alikua nao hiyo isiwe sababu ya kumnyima kazi ni jambo la kawaida sana magifuli hakuweza kuatamka neno entrepreneur ila alikua na PhD.
Kuna tofauti ya kuandika na kutamka!
Kama ni shida ya r na L basi ilitakiwa uonekane wakati WA kuatamka sio kuandika
So mwandishi kakosea Kwa bahati mbaya
 
Inategemea na maslahi, kwa mfano kazi ya TZs 15M hata iko italy (mfano tu) unafikiri passport inaweza kuwa kikwazo.sante



Sio kwamba sina kazi kabisa ni na kakitu kadogo ambako nimekuwa nikikafanya kwa mwaka wa 3 sasa kuelekea wa4. Ila naona kuna haja ya kwenda mbele kidogo, niongeze connections, maslahi kiasi fulani na kubadiri mazigira ya kazi kijografia, kijamii na hata kuongeza watu naohusiana nao. (Nikue zaidi)
Huo mshahara kwa muda gani? Mwaka au mwezi?
 
Habari wana jamvi,

Natafuta kazi yoyote ya halali,

Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography

Umri: Miaka 28

Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba

Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing)

Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa computer na simu, pamoja na matumizi yake (experty level), Excel, word, publisher n.k (microsoft office packages), kufundisha, huduma za miamala (mobile money transfer), KYC applications, kusimamia mauzo ya maduka kawaida na kwa kwa kutumia mifumo mbalimbali kama tally na excel spreadsheets.

Mawasiliano yangu ni

WhatsApp, call or txt messasge 0784267282
Nje ondoa kunahitaji teaching licence za nchi husika.Unazo hizo licence?
 
Back
Top Bottom