Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

Unatamani/unaomba kazi nje ya bongo, lakini haujawa na utayari wa kutoka nje ya bongo (hauna gamba)
 
Huo ugonjwa wa R na L ata JPM alikua nao hiyo isiwe sababu ya kumnyima kazi ni jambo la kawaida sana magifuli hakuweza kuatamka neno entrepreneur ila alikua na PhD.
Kuna tofauti ya kuandika na kutamka!
Kama ni shida ya r na L basi ilitakiwa uonekane wakati WA kuatamka sio kuandika
So mwandishi kakosea Kwa bahati mbaya
 
Huo mshahara kwa muda gani? Mwaka au mwezi?
 
Nje ondoa kunahitaji teaching licence za nchi husika.Unazo hizo licence?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…