Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu

kwa mwenye connection naomb msaada🙏.

Update:

God did it nashukur nimepat kaz
Dua zako zimetiki kaka nimepat kaz shukran Mungu akupe hitaji la moyo wako✅
 
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu

kwa mwenye connection naomb msaada🙏
Umeshapata kazi ? Kuna kiwanda kinatafuta Lab Technician. Qualification, Bachelor of Science in Chemistry or equivalent. Kinaitwa ABinBev kiko Arusha
 
Jiajiri anza classes za Chemistry online utapata subscribers kwa Youtube create content au dalalia beauty au healthy products, tengeneza hata Sabuni uza natumaini hiyo Chemistry itakusaidiaa. Usisubiri serikali ya CCM kwani wao Pia wanawatoto wao na jamaa zao!
 
Hua nikisoma hivi naishia kusikitika tu

Mkuu usijishushe thamani hivyo aise, kwanini hujawaza kufanya kazi nje ya nchi, watu wa aina yako mfano uingereza wanalipwa kias gani kwa mwaka

106,431,627/- Tsh ambayo ni wastani wa 8,869,302/- Tsh kwa mwezi, na hii ni unaanza tu..bado ukipata uzoefu salary inaongezeka
 
kaka izo kazi nje ya nchi napataje?
 
Unawe
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu

kwa mwenye connection naomb msaada🙏
Za endesha eche
 
Back
Top Bottom