Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

Hua nikisoma hivi naishia kusikitika tu

Mkuu usijishushe thamani hivyo aise, kwanini hujawaza kufanya kazi nje ya nchi, watu wa aina yako mfano uingereza wanalipwa kias gani kwa mwaka

106,431,627/- Tsh ambayo ni wastani wa 8,869,302/- Tsh kwa mwezi, na hii ni unaanza tu..bado ukipata uzoefu salary inaongezeka
Kuanza kujitofautisha kunaendana na uwezo,alafu Tambua mshahara huko ni kubwa ila gharama za maisha ni kubwa pia
 
Endelea kupambana Mkuu, wote tumepita huko. Mishe utapata tu hivyo jichanganye na watu, kabla ya kupata kazi ya profession yako lazima ule msoto kidogo, ujiajiri, uajiriwe kama kibarua n.k., at the end kitakuja kile unataka. Kila la heri.
asante mkuu
 
Hope utapata mkuu mimi nitakuombea ndugu yangu. Jichanganye mtaani na vijana wenzio wanaohustle wakupe michongo usiwaonee aibu.
 
Back
Top Bottom