God did it nashukur nimepat kaz
Dua zako zimetiki kaka nimepat kaz shukran Mungu akupe hitaji la moyo wako✅
Umeshapata kazi ? Kuna kiwanda kinatafuta Lab Technician. Qualification, Bachelor of Science in Chemistry or equivalent. Kinaitwa ABinBev kiko ArushaHabarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏
Mkuu uliposoma hii kozi lengo lako lilikua ni nini?Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏
kaka izo kazi nje ya nchi napataje?Hua nikisoma hivi naishia kusikitika tu
Mkuu usijishushe thamani hivyo aise, kwanini hujawaza kufanya kazi nje ya nchi, watu wa aina yako mfano uingereza wanalipwa kias gani kwa mwaka
106,431,627/- Tsh ambayo ni wastani wa 8,869,302/- Tsh kwa mwezi, na hii ni unaanza tu..bado ukipata uzoefu salary inaongezeka
Za endesha echeHabarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏
Endelea kupiga michakato mingine Mkuu muda ukifika utapata.tatzo bdo hatuna vyeti na inabd kuaapply ajiraportal