Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

Kuanza kujitofautisha kunaendana na uwezo,alafu Tambua mshahara huko ni kubwa ila gharama za maisha ni kubwa pia
 
Endelea kupambana Mkuu, wote tumepita huko. Mishe utapata tu hivyo jichanganye na watu, kabla ya kupata kazi ya profession yako lazima ule msoto kidogo, ujiajiri, uajiriwe kama kibarua n.k., at the end kitakuja kile unataka. Kila la heri.
asante mkuu
 
Hope utapata mkuu mimi nitakuombea ndugu yangu. Jichanganye mtaani na vijana wenzio wanaohustle wakupe michongo usiwaonee aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…