mkuu jina lako nilidhani ndio kazi yako hp mjiniNatafuta kazi yoyote halali nijikimu kimaisha.
Umri wangu; 22
jinsi; Me
mahali nilipo; Dar
mawasiliano; 0654001917
Sawa mkuu,hivi hiyo biashara ya used materials inaitaji kama kiasi gani mtaji.nafanya hivyo lakini kwa sasa sina mtaji. nilikua middleman.
usikiapo kuna kazi/kibarua popote usisite kunijulisha tafadhali