Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

Jay3xclusive

New Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Natanguliza salamu,

Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne.

Naweza kutumia computer vizuri
Ninaujuzi wa Web design
Naweza kufanya kazi ya duka

Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote atakayeona post hii asinine kunisaidia

Nawasilisha!
 
Njoo Abraar Education Centre kibaha, tukufundishe kazi za kuunda vifaa vya ujenzi huku unajifunza namna ya kuviuza na utatumia ujuzi wako wa komputa kufanya mengine yatayojitokeza, pia unalipwa. Baada ya muda mchache (kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili au muuzaji wa vifaa vya ujenzi. Tunatilia mkazo sana, ubora, ndidhamu na miiko ya kazi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur

whatsapp 0625249605.
 
Back
Top Bottom