Natafuta kazi yoyote ya kutumia nguvu au akili

Natafuta kazi yoyote ya kutumia nguvu au akili

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari wakuu!

Mimi Ni mwanafunzi(22) wa mwaka wa Pili chuo Fulani hapa Dar es salaam!
Nasoma Bachelor Degree in Gender and development.

Kutokana na Hali ya maisha kuwa mbaya Sana kwa upande WANGU,
Nilimeamua kuja mbele yenu ndugu zangu, kuomba kazi yoyote ili niwe na chanzo chochote Cha mapato Rakini pia niweze kuendesha maisha Yangu Mana Nina andamwa na Kodi ada nk

Ukosefu wa pesa awamu hii ya muhula wa kwanza ndio imenifanya kutofanya mthiani wa Mwisho (UE) kwa sababu ya kukosa Ada. Hivyo najiandaa na Special September uku nikitafuta Ada ya semester 2

Hivyo naombeni mnisaidie kuniunganisha kwa Namna Yoyote ili na Mimi nianze kupambana.

Uzuri wa ratiba za chuoni kwetu, naweza kujigawa na nikafanya vizuri pande zote mbili.

Aina ya kazi ninazohitaji.
1. Ulinzi(night shift)
2. Stationary
3. Bodaboda na Bajaj kwa mkataba
4.petrol station (night shift)

Na kazi ingine yoyote itakayo patikana nipo Tayari kuifanya.

Uwezo Wangu.
1.Ninaweza kufanya kazi kwa uaminifu Mkubwa
2.Kushirikiana vizuri na Team yangu katika kazi
3.Nina uwezo Mkubwa wa kutatua matatizo (critical problem solving skills)
4.ujuzi wa kompyuta

Naomba Kama Kuna mtu Ana kazi yoyote Ile mawasiliano Yangu 0784312904
 
Kama unaweza kuzungumza mbele za watu bila uoga wala wasiwasi basi ni vyema ukafikiria kugombea nafasi za uongozi ndani ya CCM si unajua mwaka huu ni mwaka wao wa uchaguzi
 
Jamani msaidieni ndugu yetu watu wa Dar. Ungekuwa Dodoma ningekupa kazi ya saa 11 asubuhi hadi saa 2 asubuhi.
Sawa Binti kiziwi, najua una Nia na Upendo wa kusaidia Wengine!(Tatizo Ni umbali) Ila hata Dua zako kwa Mungu naomba uniombee mana Hali Ni tete
 
Back
Top Bottom