Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,175
Reaction score
1,588
Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu.

Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding.

Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne.

Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na viwandani.

Ana elimu ya kidato cha nne na elimu ya VETA.

Anaishi Dar es Salaam, Ubungo.

Namba yake hii: 0696549748.
 
Mbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!
 
Hongera kwa kumpa mwanga.
Japo huyu mhitaji steve_shemej anaonekana ni mtu asiyejua kushukuru hata kwa kidogo.
 
Mbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!
Habari mkuu naomba unitumie namba za hao jamaa wanaohitaji fundi wa kuchomelea namba yangu 0657790797.
 
Ana vifaa vyake vya kazi? Kwa maana ya welding mashine na grinder? Kama hapana , Je mtu akimuwezesha vifaa yupo tiyari kufanya kazi Kwa makubaliano ya kukodishiwa vifaa vya kazi?
 
Mbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi,nami naomba unitumie namba za hao jamaa pm,asante
 
Back
Top Bottom