steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Hongera kwa kumpa mwanga.Mbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!
Habari mkuu naomba unitumie namba za hao jamaa wanaohitaji fundi wa kuchomelea namba yangu 0657790797.Mbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi,nami naomba unitumie namba za hao jamaa pm,asanteMbona zipo nafasi nyingi za welding utumishi kila mara wanatangaza huwa yeye yupo wapi??? Mwambie acheki kilombero kuna nafasi za kazi ya welding?? Lakini pia kuna tangazo la welding juzijuzi limetoka hapa wanahitajika vijana wa welding na mechanical ! Lakini pia kuna kampuni inahitaji watu wa welding nakutumia namba zao inbox wapigie! Wanatafuta wengi tu! Wapigie maana wana uhitaji hadi sasa!