Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.


Shark nakuuliza kwa mara ya mwisho?
Bado unanitaka?
 
Last edited by a moderator:
madame unatafuta mchumba kwa stail ya kijigital,nimeipenda hyo,wa kule facebook wamekushinda eeeh?:ballchain::ballchain:ngoja niku pm mm nina sifa ulizotaja
 
Ongeeni yote mwisho wa simu navuta mchuma wangu Madame B natandika mashine. Kutamani imo. Azali kitoko boyee ndo Madame B
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
utamaliza ngonjera zote
ndoa za humu cc ni mafungu mafungu
mwanaume mmoja wanawake zaidi ya kumi
uliza uambiwe yaliyonikuta
mwenzio nilitoa hata ua jekundu
na mashairi ya kithungu na hata hivyo Mr Rocky
akaniacha unashangaa foleni bongo.

Mpenzi wangu Ben Saanane, wajua kama nakupenda sana.
Hvo sitaki kuumizwa.
Sijashikiwa mtutu ili nikupende, ni moyo wangu ndio umeamua.
Hvo TUPENDANE WABAYA WAULIZANE.
Nakupendajee...jamaniii!!!
 
Last edited by a moderator:
utamaliza ngonjera zote
ndoa za humu cc ni mafungu mafungu
mwanaume mmoja wanawake zaidi ya kumi
uliza uambiwe yaliyonikuta
mwenzio nilitoa hata ua jekundu
na mashairi ya kithungu na hata hivyo Mr Rocky
akaniacha unashangaa foleni bongo.

Mh, kwelh shoga ila nina imani my Huz Ben Saanand hawezi kuniacha.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu Ben Saanane, wajua kama nakupenda sana.
Hvo sitaki kuumizwa.
Sijashikiwa mtutu ili nikupende, ni moyo wangu ndio umeamua.
Hvo TUPENDANE WABAYA WAULIZANE.
Nakupendajee...jamaniii!!!
Madame B,

Unajua nilikurupuka usingizini nilipofungua JF nikaona jina la Passion Lady

So niliyoandika nilikua nakulenga wewe kumbe mawenge ya usingizi yalinipeleka kuandiaka jina la Passion Lady kwa kuwa ninamdai hela zangu nilizomtolea dhamana na nililala nikiwa na wazo hilo jana usiku

Swits unajua tumepita katika mawimbi mazito.Hatutaachana kamwe.Majungu ya akina Chimbuvu, Bishanga na Remote si mchezo...lakini tuli-survive

CC: Wanaotaka tu-break up

CC:Mbea uliyempelekea Madame B taarifa

CC: Passion Lady(ilibidi nitumie mbinu kali kujinasua maana Madame B ainishtukia)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…