Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
utamaliza ngonjera zote
ndoa za humu cc ni mafungu mafungu
mwanaume mmoja wanawake zaidi ya kumi
uliza uambiwe yaliyonikuta
mwenzio nilitoa hata ua jekundu
na mashairi ya kithungu na hata hivyo Mr Rocky
akaniacha unashangaa foleni bongo.
huwa nikiwaonya mnaniita mwanga, sijui kwa sababu ya huu uzee?? yakiwakuta mnaona hata aibu kunitizama usoni, ni vizuri majionea wenyewe...